Psalms 106:40-42


40 aKwa hiyo Bwana akawakasirikia watu wake
na akauchukia sana urithi wake.
41 bAkawakabidhi kwa mataifa
na adui zao wakawatawala.
42 cAdui zao wakawaonea
na kuwatia chini ya mamlaka yao.
Copyright information for SwhNEN